Kiwanja Dodoma kinauzwa

Kiwanja Dodoma kinauzwa

mwelya

New Member
Joined
Jul 13, 2015
Posts
2
Reaction score
0
Ninauza kiwanja dodoma kisasa b cennter comercial/residential sq m2 840.kina hati.ramani na vibali vy ujenz na nimejenga msingi wa mawe tupu.maduka manne mbele na kila duka na chunba chake cha ziada na choo then nyumba ya kuishi nyuma.bei mill 50.au kana una kiwanja kigambon tuonyeshane tuongee.ninehana dom nipo kgmbon
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom