Kuweni makini huko,bado kidogo mwaka jana nipigwe eneo huko,nawashaur ukienda kuchek eneo ingia gharama kidogo ya mtaalam wa GPS uende nae akakuchekie eneo kama lipo salama
Kuweni makini huko,bado kidogo mwaka jana nipigwe eneo huko,nawashaur ukienda kuchek eneo ingia gharama kidogo ya mtaalam wa GPS uende nae akakuchekie eneo kama lipo salama
Na kwanini ununue eneo ambalo halina hati na usihakikishe kwa jamaa wa ardhi? Ndio nyie mnapimiwa miguu mnaridhika, lazima mpigwe tu hakuna namna, kwanza nakuonyesha TP iliyo thibitishwa na wizara kama eneo halina tatizo, nakupa kila kit unachotaka
Kwa mwenye kuhitaji viwanja vya ukubwa tofauti ani PM, eneo vilipo ni kingani karibu na mradi wa malaria hapa bagamoyo mjini. Vipo vya ukubwa tofauti
mdau mimi nauza changu Pale kilomo, karibu na kiromo Primary school. Heka moja na nusu.
Mkuu unauza shilingi ngapi hilo eneo?
Nataka kiwanja karibia na port. Any size over 2000 square meter.