Nenda biafra kuna njia ambayo inatokea Ada estate hadi best bite..katikati hapo kuna garage maalum ya subaru tu mafundi wakati wapo...kama vp badaye ntaku pm namba ya jamaa hapoHabari wadau,
ebana natafuta fundi wa subaru hapa dar, kuna spares natafuta. kwa yoyote anayeweza kunisaidia nitashukuru sana.
asante
ntashukuru sana mkuu nikipata hizo contacts...[/QUOT
Huyu jamaa wa biafra... Anaitwa Goody 0763 432 008