aluminium Bongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

aluminium Bongo

Discussion in 'Matangazo madogo' started by LadySwa, Nov 4, 2009.

 1. L

  LadySwa Member

  #1
  Nov 4, 2009
  Joined: Jan 25, 2009
  Messages: 77
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  kuwekewa madirisha aluminiu ni sh ngapi?je bora kuwekewa na wachina au wabongo?Naweza kupata contact?natanguliza asante
   
 2. Kobe

  Kobe JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2009
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 1,756
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  wape chakula wabongo wenzio wajasilia mali utawapaje kazi wachina, ni pm nikupe number
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mzee umempa "live inayotakiwa...! Nimefurahia sana unavyo"mind wajasiriamali wabongo!..lol!

  Lakini hii avatar yako vipi Mkuu, imekaaje?
   
 4. Kobe

  Kobe JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2009
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 1,756
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Poa mkuu, inaumiza kichwa iyo si unajua maisha ya kibongo lazima ubongo uume ndio kazi iende kaka.
   
 5. October

  October JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2009
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 2,147
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mkuu nadhani unakosea, Nadhani unapandikiza mbegu ya ubaguzi hapa. Kigezo cha kutoa kazi kisiwe sura ya mtu au kabila lake au dini yake au rangi yake. Kigezo kinatakiwa kuwa ni ubora wa kazi, Spidi ya kazi, Unafuu wa Bei n.k. Hivi ndivo vigezo vinvyoatakiwa kuangaliwa na sio kutoa kazi kwa kwasababu ni mbongo mwenzako hata kama anachemsha katika kazi.

  Ningependa sana kuwapa kazi wabogo lakini mara nyingi mafundi wetu wa kibongo wanakua waongo, wasanii, wavivu na walalamishi, walipuaji wa kazi na visingizio chungu mzima.

  Anyway, at the end of the day it is your money, so you decide.

   
 6. Mopao Josee

  Mopao Josee JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2009
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  PLASTIC WINDOWS ARE MUCH BETTER!!!!!
  AVAILABLE IN TZ NAWADAIZ :rolleyes:
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Nov 4, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  you are entitled to jump to your conclusion!...bravo!
   
 8. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #8
  Nov 4, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Jamani kuweni makini na Plastic windows. Yameshaanzwa kusemwa vibaya kuwa yana madhara fulani. Sikumbuki vizuri ni yapi ila kama kuna mtu atahitaji basi ntamtwangia email mshikaji wangu aliyeko majuu ili anijuvye hii habari. Aliniambia siku moja ila nikaona hilo halituhusu sisi maana huku Tz hayako.

  Kwa nini msichongeshe ya MBAO za MNINGA? Wanyamwezi na sisi tutapata visenti kidogo. Au mbao za mti wa Loliondo. Ukifika Arusha kuna ile hotel ya Mtoto wa Mama Maeda (Rose Maeda) na inaitwa Golden Rose (sijui kama bado ipo). Mlango wake mzuri sana ulichongewa Tech College Arusha. Nafikiri ukichagua mbao safi unaweza kupata madirisha mazuri tu.
   
 9. L

  LadySwa Member

  #9
  Nov 4, 2009
  Joined: Jan 25, 2009
  Messages: 77
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Kusema kweli sibagui ila chema chajiuza ,pia sitaki nilipe nikubaliane na fundi
  kisha kumaliza kazi kwa kushikana mashati hako ni ka ugonjwa ketu.Pili mbao inapendeza ila kwa Dar hali ya hewa nisingependelea ,nikijenga Lushoto nitaweka mninga.
   
 10. Mutensa

  Mutensa JF-Expert Member

  #10
  Nov 16, 2009
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 426
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  sawa Kabisaaaa LadySwa.
  Kwa kweli mbao ni very expensive lakini cha ajabu mafundi hawalijui hilo.
  Pia mi nadhani madirisha ambayo bwana ameyaita ya plastic ni mazuri sana. Kimsingi yanaitwa "UPVC" - unplasticized polyvenyl chloride.
  Advantage zake over mbao:
  - hayachiji kwa jua na mvua, hayapindi, hayahitaji kupaka rangi mwaka baada ya mwaka
  Vigezo vyema dhidi ya aluminium:
  - Hayapati kutu (Aluminium original haipati kutu, lakini je, ZIPO bongo??????)
   
 11. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #11
  Nov 16, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Hebu nipe elimu zaidi kuhusu UPVC windows, zinakuja katika rangi zote? zinakuja finished au unaweza kutengeneza kutokana na vipimo? gharama zake zikoje? zinapatikana wapi hapa bongo? Unaweza kunipa contact ya kampuni inayohusika nazo?
  Asante mkulu
   
 12. Kivuko

  Kivuko Member

  #12
  Dec 1, 2009
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 66
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  UPVC windows come in many colors,and they are very customizable,cheaper than aluminium windows and wooden windows to my knowledge.

  HOW are they made?

  just like aluminium windows,just like any other windows,you can get them according to the size you want.

  cheers!
   
 13. M

  Marigwe JF-Expert Member

  #13
  Dec 1, 2009
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Ndugu Sikonge bei ya mbao siku hizi is quite prohibitve my friend. Nimejenga nyumba mimi ndani nimeweka milango vyumba muhimu tu. Kwengine access from the lounge to the dining to the kitchen TV room to study room ni arches tu. Ni ****** na mlango wa kwenda store na mlango wa mbele na nyumba ndiyo nimeweka milango.
   
 14. Obhusegwe

  Obhusegwe JF-Expert Member

  #14
  Dec 1, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 232
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Mbao noma babake, nilikuwa sijui hilo mpaka nilipoihitaji!! dah! unaweza kata tamaa na kujenga!
   
 15. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #15
  Dec 1, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Vipi kama wachina wanafanya kazi bora zaidi kwa gharama ndogo?

  Na tajiri anataka ku minimize costs na ku maximize utility?
   
 16. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #16
  Dec 1, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Production ya UPVC window angalia hapa:

  [ame]http://www.youtube.com/watch?v=5Mg1YQ8NVJg[/ame]

  Wamejitahidi kuelezea kwa uhakika zaidi.

  What are the advantages and disadvantages of uPVC windows over wooden windows?
  uPVC windows has the following advantages over the traditional wooden windows:
  • They provide a good frame insulation.
  • Low cost of maintenance as they do not need polish or paint.
  • Many companies manufacture uPVC windows so the cost of the material is reduced.
  • These are now easily available in wood grain and coloured finishes, so you can get the same look as the classic wooden windows. In fact, you can get white external and coloured internal looks also.
  • uPVC windows do not rot or warp.
  The main disadvantage is,
  There are many advantages to uPVC windows, but the argument rages on as to whether UPVC windows or replacement windows are environmentally friendly or not. There are many differences between timber and uPVC windows. The process that is required to make PVCs is highly toxic and this in turn leads to toxic by-products. On top of this, the point is made that the biggest problem with regard to UPVC windows is their disposal at the end of their useful life – which seems to range between 10 and 30 years. Some say that PVC is very easy to recycle but others counter by pointing out that in practise very few PVC windows are recycled because of the difficulty in separating the component parts. Neither can it be incinerated because of it's composition.
  UPVC windows discolour !! Some go yellow and while this is bad enough, others go a sort of pink! There are various reasons put forward for this discolouring problem, but without going into too much unnecessary detail as to the cause, the remedies are few. You cannot paint PVC windows, and anyway, isn't the lack of need for painting one of the main reasons you wanted UPVC windows in the first place?
  Very bad weather or severe extremes of weather can cause cracking, expanding or warping to your double glazing, PVC windows.
   
 17. GAMBLER

  GAMBLER JF-Expert Member

  #17
  Dec 2, 2009
  Joined: Nov 22, 2009
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama unataka kutapeliwa, kawape kazi wabongo. Mimi binafsi niliwapa kazi yangu sasa ni mwaka wa 3 hakuna walichofanya zidi ya kinitapeli, nilipoenda kwa wachina nilikuta bei zao ziko chini sana na waliniwekea madirisha nyumba nzima just for 3 days, wabongo kazi zao ni utapeli. Majungu na usanii!
   
 18. GAMBLER

  GAMBLER JF-Expert Member

  #18
  Dec 2, 2009
  Joined: Nov 22, 2009
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wabongo wasanii
   
 19. a

  atlwindows Member

  #19
  Dec 14, 2009
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  FOR ANY REQUIREMENT OF UPVC WINDOWS in BONGO LAND. WRITE TO THIS EMAIL-
  info@aqeel.co.tz

  :rolleyes:
   
 20. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #20
  Jul 27, 2015
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 426
  Trophy Points: 180
  Nipe namba ya mchina tafadhali
   
Loading...