Msaada:Bei za simu.!

Msaada:Bei za simu.!

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,521
Reaction score
13,997
Habari zenu wakuu?

Nina rafiki yangu yupo UAE(Dubai) atafika nchini hapa Arusha 10/08/2015.

Kuna simu nimemuomba aniangalizie bei
Samsung note 3 =$550
Sony Experia X utra =$300
Sony Experia Z2=$400
Samsung Galaxy5=$320

Naomba kujua kama hizo bei ni fair kwa hizo simu ukilinganisha na bei za hapa Tz? na pia simu ipi kati ya hizo ni imara na latest model.

Pia unakaribishwa kuagiza simu kama upo interesting,utaongeza pesa kidogo ya hiyo device yako.

Asante sana.
 
Hio z2 na note 3 kwa bei hio hazina issue huku unazipata zaidi.

Hio experia x ultra ulimaaniza xperia z ultra? Hio bei ni ya kawaida sana.

S5 kwa 320 (around 650,000) ni bei nzuri kama ni mpya.

Ila kuwa makini dubai kuna simu nyingi ambazo zimekuwa unlocked toka korea. Na simu hizo husumbua ussd na charachter za sms sio 160.

Hivyo ni muhimu atest hivyo vitu huko huko
 
Back
Top Bottom