Kabati la dukani linatafutwa

Kabati la dukani linatafutwa

Ududu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
1,020
Reaction score
556
Natafuta kabati kwa ajili ya dukani,lengo ni kuwekea bidhaa kama vipodozi,spray nk..Liwe na partition at least mbili na vioo vya mbele.

Asanteni.
 
Bado natafuta wakuu.
 
Back
Top Bottom