Kampuni ya clearing inauzwa...incorporated in 2009. in good standing na ni profitable...
Ahsante Mh Mwakyembe kwa kazi yako nzuri,tumeanza kuona matunda
Ahsante Mh Mwakyembe kwa kazi yako nzuri,tumeanza kuona matunda
Bwahahahahaha, umeona mbali sana mkuu!
Mh,maajabu hayaishi dunia hii. Profitable company na inauzwa?
Hahaha, hawezi kurudi tena hapa!Ahsante Mh Mwakyembe kwa kazi yako nzuri,tumeanza kuona matunda
Join Date : 17th January 2013On the contrary, the owners wana projects zingine na imekuwa vigumu to manage as you know managing a clearing company ni time consuming....nothing to do with Mwakyembe and actually tuna m support sana...
Duuu mi natafuta kampuni ya kununua ila maneno yenu wakuu yamenitoa nduki
Hio sio tatizo, tatizo ni leseni issued by TRAnakushauri ufungue yako, mimi nitakusaidia usajili wa brela pamoja na kuandaa MoU and AoA
nimekuelewaHio sio tatizo, tatizo ni leseni issued by TRA