Exclusive offer for Office Spaces TO RENT at Ubungo Plaza in Dar Es Salaam. $600 Per Month 3months deposit accepted.
SPACIOUS 46SQURE METER with AMPLE SAFE PARKING for your car the whole day...
AINA : MITSUBISHI LANCER
MWAKA: 1999
RANGI: BLUE
CC: 1597
IMETEMBEA: KM 152,300
HALI: INATEMBEA, IKO VEMA
ENGINE: 4G 92 ( UKIBADILI UKAWEKA TOYOTA INAFAA ZAIDI INGINE 4E)
BODI NA NDANI: SAFI ILA...
Ni kiwanja cha ukubwa wa 25 x 20, kina nyumba (sio ya kisasa) ya tofali za block na choo cha nje. Haina uzio. Ipo mtaa wa kwamathias, mita 400 kutoka kwa mzee mathias barabara ya zamani.
Hakuna...
Salaam,
Mdau yeyote mwenye kujua taarifa zote muhimu za HIACE USED kutoka nje na mtambo mdogo wa kuchakata mawe na kutenga dhahabu (kutenga dhahabu kutoka kwenye mawe).Yeyote anayeweza kunisaidia...
[SIZE=3]Kiwanja kinauzwa Kibaha kwa Mathias. Kina ukubwa wa mita 30 x 35. Kipo umbali wa Mita 100 kutoka barabara ya zamani karibu na NEW ROMBO PUB. Miundo mbinu ya maji, barabara na umeme ipo...
Iwe ina vyumba vitatu vya kulala, jiko, sebure. Kiwanja unachoweza kupaki magari matatu au manne. Iwe katika maeneo ambayo kuna barabara gari inaweza kuingia. Usilete nyumba ambayo parking zake...
Nahitaji generator kwa ajili ya matumizi ya nyumbani kama kuwasha TV, Taa, Friji na AC. Kwa wenye utaalamu ni generator gani nzuri kwa haya mahitaji? Na ni wapi naweza kupata.
Pia ningependa...
Wakuu nauza sehemu ya kutengenezea chipsi ikiwa kamili pamoja na vyombo kama majiko mawili, kabati la alminium, karai, yani kila kitu kinachohusika wewe unakuja na mtaji tu..kipo dodoma mita123...
Habarini wadau.natumai mpo poa sana nimekuja kwenu kuwatangazia kwamba kuna nyumba bro wangu anaiuza iko maeneo ya Arusha njiro ghorofa mbili.
Kiwanja ni 30*25
nyumba ina vyumba vinne master...
ninaparcel yangu nimenunua kutoka german lakn nimeshindwa kusafirisha kwa dhl man wamesema hawaruhusu kusafirisha parcel zenye betre wanahofia madhar kweny ndege mizigo yangu ipo tu sijajua...
Naitwa MC SIMON Mzungu ni mshereheshaji (MC) katika harusi,send off na matukio mbalimbali,mara nyingi Nimealikwa katika vikao mbali mbali vya harusi lakini Washereheshaji Tunaulizwa maswali...