Conq'ueror
Senior Member
- May 13, 2015
- 171
- 131
Salaam,
Mdau yeyote mwenye kujua taarifa zote muhimu za HIACE USED kutoka nje na mtambo mdogo wa kuchakata mawe na kutenga dhahabu (kutenga dhahabu kutoka kwenye mawe).Yeyote anayeweza kunisaidia naomba mawazo yake hapa.