The Red Pen
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 517
- 206
Kiwanja kinauzwa Kibaha kwa Mathias. Kina ukubwa wa mita 30 x 35. Kipo umbali wa Mita 100 kutoka barabara ya zamani karibu na NEW ROMBO PUB. Miundo mbinu ya maji, barabara na umeme ipo. Bei ni tsh 15 m.Hakina dalali.
Mwenye kuhitaji ani pm.
Mwenye kuhitaji ani pm.