chipalila1
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 259
- 32
Kama kichwa kinavyo jieleza kama mtaalamu ana kifaa hicho tuwasiline kwani kinahitajika sana.
Karibu
Karibu
Nenda madukani utafute Auto transformer... Hata ya 3000VA sio mbaya.. Inategemea na matumizi yako lakini..
Mimi ninazo step down transformers 5 za 230-230 volts to 120-110 volts kwa matumizi ya vifaa vilivyokuwa vinatumika USA.