kimweri Jr
Senior Member
- Jun 9, 2012
- 131
- 42
Ni kiwanja cha ukubwa wa 25 x 20, kina nyumba (sio ya kisasa) ya tofali za block na choo cha nje. Haina uzio. Ipo mtaa wa kwamathias, mita 400 kutoka kwa mzee mathias barabara ya zamani.
Hakuna dalali, haina hati, taratibu zote zitafuatwa kabla ya malipo!
Mwasiliano 0752 252 658
Hakuna dalali, haina hati, taratibu zote zitafuatwa kabla ya malipo!
Mwasiliano 0752 252 658