Nahitaji kiwanja medium au low density Mtwara mjini. kiwe kwenye maeneo ya wenye nazo au karibu na bahari. Kwa wenye nyumba ya kuuza mtwara maeneo mazuri na au karibu na bahari tafadhali tuwasiliane.
kichwa cha habari hapo juu kinahusika, kuna nyumba ya kisasa kabisa inapangishwa mtwara mjini maeneo ya ligula kwa jionee. nyumba iko ndani ya fence ina chumba tatu zenye master rooms, sebule jiko...
Habari wakuu.
Kuna Researcher alikuwa anataka nyumba ya Kununua,iwe karibu kabisaaa ya Gate la kuingilia Mbuga ya Serengeti National Park.
Mwenyenayo anaweza kuleta pendekezo lake nimtumie...
Nahitaji semi precious stones aina yoyote ile kwa bei yako. Kila aina ya precious stone iwe kwa kiwango kikubwa (weight wise). Nipo Dar-Es Salaam na Morogoro
Habari wanajamii, ninauza gari yangu aina ya Nissan Note ya Blue ya mwaka 2005. Gari ipo katika hali nzuri na imetembea km 68,000 tu! Kwa mwenye kuhitaji tuwasiliane kwa namba 0686477879...
Habar wanajamii, ninahitaji accounting software ya Tally ERP 9, aliyenayo ani-pm tafadhali.
Tafadhali zingatia version nilio itaja hapo juu, ndio ninayo ihitaji na si aina nyengine
Asante
Ndugu zangu nauza gari dogo aina ya vitz haina tatizo lolote bei sh mil 6 maongezi yapo iko katika hali nzuri, imetembea km 86000 tu, kwa maelewano zaid pm
Rapid Services & Specialities is a company that provides A/C service maintenance, house and office cleaning and maintenance
for more details call or whatsapp on 0767-008822
Ninauza line za uwakala wa mitandao hiyu hapo juu kwa dharura.Bei iko fair sawa wanajamvi.Kama kuna mtu anahitaji
Nitafute kwa namba 0654 817575
First come first served.
Gari ya mc inauzwa mil 3 tu.
contact: 0713774746 (whatsapp also)
Lipo DSM na pia ni fixed price.
gari inatembea fresh na ac ndani iko bomba tu.
HII GARI ISHAUZWA......
KUNA GARI ZINGINE...
Kipo kijaka kigamboni-Dsm
Nauza kiwanja kipo kijaka kigamboni Dsm,nje ya mji mpya wa kigamboni.ukubwa wa kiwanja ni 30x35 sqm. Kipo karibu na barabara kubwa inayotoka Daraja jipya la kigamboni...
HP Pavilion 15-p008tx... core i5 1.7ghz boosted to 2.4ghz... ram 8gb and hdd 750gb... 2gb dedicated nVidia GRAPHICS Card... 15.6" LED Display... Clean Condition... Comes With Windows 10
*****...
Mwenye gari tajwa hapo anifate pm tuone kama twaweza fanya biashara, najua kuna watu wanaweza kuwa bado wana magari mazima kabisa ni kama mpya isipokua wanataka kubadilisha aina ya gari na anauza...