Range rover for sale

Range rover for sale

Amigo Sr

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
351
Reaction score
264
Well maintained, ni 4.6HSE, make 1996, automatic, petrol engine, with 4WD, full AC, inatembea, you just pick and drive away. Bei 22 Million ImageUploadedByJamiiForums1440324142.145166.jpg ImageUploadedByJamiiForums1440324193.098826.jpg ImageUploadedByJamiiForums1440324242.041041.jpg
 
ukiuza sana tena kwa huruma ni 10m hiyo mi-range ya wauza samaki wa mwaloni Mwanza,mjanja wa mjini hawezi nunua hiyo range,peleka pale mwaloni Mwanza au ukerewe fasta utauza.
 
Mkuu mbona umeficha plate number ya gari?wengine wananunuaga gar kwa kuangalia plate reg number,kuificha atakuja mtu kumbe inaanzia na namba T...CCM au CDM akagoma just itikadi za vyama,ni ushauri tuu
 
Is it my eyes ? 1996 .....22m .....Range Rover ? 19 years old....mmmhhh
 
Mimi kwa kweli nimelipenda hasa kwa kuoshea jina huku migodini isipokua vitu vitatu tu.
1. Lina picha ya mgombea wa CCM
2. Bei yake
3. Namba inaweza kua T...CCM halafu ikaninyima ujiko hasa huku Mererani ambako ni ngome ya M4C
 
Umri wa gari si kigezo, cha msingi gari iko vizuri, hao wa mwaloni wapelekee ya kwako! Gari hii ni ya heshima muache wivu wa kijinga, namba ya Gari inaanza na C, lakini si ccm au cdm,japokuwa mambo yote ukawa kwa lowasa. Bei ya gari tunaijadili hapahapa JF, hakuna siri, nitaekubaliana bei ndo atapata namba yangu.
 
Mambo yote ukawa kwa lowassa, hii nimeipenda!
 
Sasa hivi kila uzi lazima kajisiasa kaingie kidooogo..sasa ccm na ukawa kwenye hii ndinga vimetoka wapi
 
Range haitaki mbwembwe eti umeweka mafuta ya kidumu kuanzia 50 kuendelea mafuta ya elfu kumi haijui!!
 
Ha haaa! Hii gari iko bomba sana, tena ina nguvu za simba. Sheshe siku limetushia wese, nikaleta kidumu cha lita kumi gari ikakataa kuwaka... Yani salio la chini kabisa, ni wese la sh elfu hamsini. Kwa mwenye mawe, I think ni gari ya heshima.
 
Dawa ni kuweka full tank muda wote. Jioni kabla hujalaza gari unajazia full tank yako.
 
Back
Top Bottom