Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nina laki nne tu, naweza kupata lap top nzuri mpya kwa kiasi hicho? Je, ni aina gani ya lap top ambayo haina usumbufu unanishauri niitafute? Naomba ushauri wako.
0 Reactions
0 Replies
878 Views
nauza techno p5 ipo katika ubora kwa shilingi laki moja nipo dar,kama unahitaji nipm
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kina ukubwa wa Upana mita 17 na urefu mita 30. Milion 6 0782578576
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu,simu tajwa inauzwa na iko katika hali nzuri. Kama unahitaji tunaweza kuwasiliana kwa namba hizi,0672110065
0 Reactions
7 Replies
1K Views
nyumba ipo mbagala kwa mmwera, ni kilomita 1 kutoka st. Anthony's secondary school ina vyumba 4, sitting room na dining, parking, na eneo la kutosha kujenga vyumba vya uani. Inahitaji matengenezo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Je unamtaji lakini hujui ufanye biashara gani, na ujui pakuanzia? je unabiashara lakini hailudishi faida mpaka inapelekea unaona kama chuma ulete wanachuma mali zako? je umemaliza chuo na ujapata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mbezi Luguruni situated along Morogoro road.Well organized place in Dar es salaam.Residential plots measured 1120square meter each and surveyed and have voucher for payments.That means Title...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wanajamii, Nlikua naomba msaada wenu kujua ni sehemu gani naweza kupata suti either black or dark blue kwa bei nzuri,pia nahitaji msaada wa kujua ni wapi naweza pata mashati ya kuvalia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wakuu mwnye samsung s3 nahtaj nko dsm,kwa 250
0 Reactions
0 Replies
812 Views
Kina ukubwa wa Upana mita 20 na urefu mita 40. Kipo sehemu nzuri barabara imefika mpaka kwenye kiwanja na umeme ushafika. Kinauzwa million 14. Serious buyer only dalali haitajika. 0782578576
0 Reactions
2 Replies
993 Views
Wakuu nauza pikipiki yangu, bei tajwa hapo juu, ni nzima na ipo barabarani, inaleta hesabu kila siku. Sababu ya kuuza ni kwamba nimeamishwa eneo lakazi, so nitashindwa kuendesha biashara hii, ina...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kiko maeneo ya kiparang'anda Mkuranga na kimeshafanyiwa survey.Ziko heka tano bei milioni 20,mazungumzo yapo.Kwa mawasiliano zaidi ni 0788993076
0 Reactions
0 Replies
968 Views
Storage 32 GB, RAM 2GB, Camera 13 PMX, 2. TZS 280,000/= fas
0 Reactions
1 Replies
990 Views
Habari Wakuu, Kwa yeyote anayehitaji mirunda, mbao, marine boards, n.k. vinapatikana. Vifaa vimetumika mara moja na viko katika hali nzuri,. Vifaa viko Kimara, Dar Es Salaam. Mchanganuo: Marine...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauza Android Smartphone inasapoti App zote zipo kama Tecno H6 ni mpya haina michubuko kwa 70000 tu ina rangi ya silva
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Vinauzwa tsh.60,000 kwa kimoja, ukihitaji vingi kuanzia 6 kutakua na discount Wasiliana nami kwa 0718267085 au 0762341595
0 Reactions
0 Replies
893 Views
Nauza projector aina ya ben q model MP720p. ipo safi kabisa na original. Serious buyer ani pm tufanye business.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wazee naweza kupata Samsung S6 brand new kwa 800000 Naombeni msaada wazee?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Namba ni 0766400150. Niko mwanza
0 Reactions
0 Replies
648 Views
Back
Top Bottom