Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu Salama? Naomba msaada wa contacts (email/s + Mobile number), ya mhusika yeyote wa benki hii makao makuu (nadhani ni Dar). Ninashida SANA nao. Ahsanteni
0 Reactions
7 Replies
3K Views
IWE AINA YOYOTE CORE i3 au i5..hdd 500 ram 4gb na kuendelea. contact 0655730673
0 Reactions
4 Replies
2K Views
nina tecno h6 nataka kubadilishana na samsung s3 nimpe na ela kidgo ila tecno yng ina crek ktk kioo au km kuna m2 ana samsung yoyote sawa wahatsup pic 0713844841
0 Reactions
0 Replies
729 Views
Nauza dell desktop aina ya optiplex 380 Ina sifa hizi; Hard disk 250 GB Memory 2 gb DVD combo Processor 3.0 Ghz dual core Pia ina sreen ya hp lcd inchi 15 Windows 7 Installed. Bei...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nahitaji kiwanja morogoro bajeti yangu milioni moja hadi 2, wenyenavyo naomba mnipm, nawasilisha
0 Reactions
1 Replies
745 Views
Ukubwa kuanzia Mita 20x20 bei kuanzia 4.5milion bei inaongezeka Kulingana na ukubwa. Huduma kama maji, umeme na barabara nzuri zipo. Kwa taarifa zaidi piga 0713154547
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa bei ya sh 60,000/= Kwa maelezo piga 0783 132193 Karibuni sana
0 Reactions
0 Replies
966 Views
Wandugu, Shamaba linauzwa kigambon eneo la mwasongwa.Ni eka sita. Anaehitaji anaweza kunitafta kwa n. Hii. 0715 234409 au 0788 234409.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katoni nzima kwa elfu 15,000/= Kwa maelezo piga 0783 132193 Karibuni sana
0 Reactions
11 Replies
2K Views
nauza laptop aina ya Samsung nipo musoma simu namba 0766520296
0 Reactions
5 Replies
2K Views
nauza s2 bado ni mpya kabisaa.bei 180k.0659626782
0 Reactions
3 Replies
802 Views
JE, wewe ni mjasiliamali? Kampuni? Shule ? Chuo? Nk, Na ungependa huduma yako au bidhaa zako ziwafikie watu wa mbeya na maeneo ya jirani?! Basi Kampuni yetu yenye ofisi zake hapa jijini Mbeya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Inapatikana hapa Dar ipo safi tu waoiokuwa wanaitumia muda wao wakuishi Tz umeisha ivo wanaliuza. Kwa maelezo zaidi tuwasilia inbox
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau, Madini aina ya Tomalin yanapatikana. Kwa wahitaji wasiliana 0785 913027. Picha zimeambatanishwa.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari zenu ndugu. Kwa mwenye kufahamu, hasa wauzaji wa vifaa kwa ajili ya wiring ya nyumba za makazi. Vifaa hivi vifuatavyo bei yake inasimamaje? i) Main switch "Havels" 12 ways ii)...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Pata dstv compete set. Used kwa tsh 110,000, Kwa wanunuzi tu. Wasiliana na muuzaji 0714260412 Muuzaji yupo ubungo
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu kuna Blogu ukiziangalia na Content yake haviendani ,content nzuri but poor Design. Sasa naweza kukusaidia kupata design nzuri kwa Buku kumi na Tano tu. 15000/=. Hata kama huna Blogu...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari wanajamii. Nina shida, nataka kuhama nimemaliza mjengo wangu, nilikuwa nakaa kwenye nyumba nzuri sana ya kupanga hapa Pugu Dar. Kodi yake ni laki mbili. Nililipa miezi sita mkataba...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom