Nyumba inauzwa Mbagala, Dsm

Nyumba inauzwa Mbagala, Dsm

Shanyc

Senior Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
171
Reaction score
21
nyumba ipo mbagala kwa mmwera, ni kilomita 1 kutoka st. Anthony's secondary school ina vyumba 4, sitting room na dining, parking, na eneo la kutosha kujenga vyumba vya uani. Inahitaji matengenezo kidogo. Ni sh. mil 20. kwa mawasiliano 0655674900
 
Mbagala ni kubwa, unapotaja majina kama kwa Mwera yule wa mbali na hapo hawezi fahamu. Mf.ainisha ni umbali gani kutoka katikati ya jiji n.k
 
nyumba ipo mbagala kwa mmwera, ina vyumba 4, sitting room na dining, parking, na eneo la kutosha kujenga vyumba vya uani. Inahitaji matengenezo kidogo. Ni sh. mil 20. kwa mawasiliano 0655674900

Mkuu ukiuza "Bila Kutupia Kapicha", wewe utakua mwanga na ulete mrejesho hapa jamvini.....
 
Mbagala ni kubwa, unapotaja majina kama kwa Mwera yule wa mbali na hapo hawezi fahamu. Mf.ainisha ni umbali gani kutoka katikati ya jiji n.k

ahsante kwa kunikumbusha mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom