Nina laki 4, naweza kupata Laptop nzuri?

Nina laki 4, naweza kupata Laptop nzuri?

babajohn

Member
Joined
Dec 3, 2014
Posts
44
Reaction score
19
Nina laki nne tu, naweza kupata lap top nzuri mpya kwa kiasi hicho? Je, ni aina gani ya lap top ambayo haina usumbufu unanishauri niitafute? Naomba ushauri wako.
 
Back
Top Bottom