Jipatie huduma za matengenezo ya computer popote ulipo kwa wakazi wa Dar es salaam na maeneo ya jirani.
Huduma tunazotoa ni :-
1.Tunatengeneza computer zilizoharibika, kama unahisi computer yako...
Kama kicha cha habari kinavyojieleza, nahitaji Desktop ya Dell wakuu, yenye kuanzia ram 2gb
Kwa anaeuza karibu tufanye biashara
Nicheki 0716863406 bei isizidi laki unusu
NYUMBA INAPANGISHWA;
Ipo mwananyamala,karibu na kanisa ama karibu na Club Africando.
ina vyumba vitatu,kimojawapo ni masterbedroom,sitting room,
dinning,store,public toilet.imezungushiwa ukuta...
Simu tajwa hapo juu inauzwa, ipo katika hali nzuri haina clerk hata moja, nmeambatanisha na picha kibao za hyo simu. Bei ni 300,000/= ingawa inaweza ikashuka kidogo. kama upo interested nicheck...
met with a panel of technicians who specialize in various fields such as: - electrical installation
plumbing,
tiles,
painting,
decor, art,
gardening,
sculpture,
furniture and building...
Chumba na sebule vinapangishwa eneo la Tabata Chama bei ni laki moja kwa mwezi (100,000/=) mazingira ni mazuri utayapenda yanautulivu wa kutosha
Mawasiliano:-0659413181, 0717747181
Nahitaji kiwanja bei milioni 3.5 kiwe jirani na umeme, kisiwe bondeni na mwisho kiwe kikubwa na chenye barabara hisiyo na mizengwe. Maeneo ukonga na mbagala.
Nipm kama kina sifa hizo
Wakuu natafuta nyumba ya kununua sinza au Kijitonyama. Iwe kwenye hali nzuri na kwenye kiwanja kilichopimwa. Budget yangu ni up to 80m kulingana na ubora wa nyumba.
Shukran
Habari zenu wanajamii?
Nina shida ya kuku wanyama wakubwa kuanzia 1.5kg nakuendelea,bei ni maelewano katiyangu na mfugaji.Nahitaji zaid ya kuku 3000kg kwa wiki wakiwa fresh na...
SmartFundi Co Ltd
The company deals with the total solution for house finishing and renovation, basically every work that is associated with constructions and/or decoration of the house. we also...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.