Nauza boda boda (pikipiki) 800000

Nauza boda boda (pikipiki) 800000

TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
930
Reaction score
1,300
Wakuu nauza pikipiki yangu, bei tajwa hapo juu, ni nzima na ipo barabarani, inaleta hesabu kila siku. Sababu ya kuuza ni kwamba nimeamishwa eneo lakazi, so nitashindwa kuendesha biashara hii, ina muda wa mwaka mmoja, aina ya piki piki ni LANTICA, HAIJAWAHI KUFUNGULIWA MASHINE. Simu yangu haiwezi kutuma picha hapa, so kwa anayetaka aniPM, nimtumie picha kwenye watsap, kwa mawasiliano 0757950376.NB. Bei haipungui hata shilingi moja. Pia napatikana mbagara rangi tatu, dar es salaam
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom