Habari wanajamii.
Nina shida, nataka kuhama nimemaliza mjengo wangu, nilikuwa nakaa kwenye nyumba nzuri sana ya kupanga hapa Pugu Dar. Kodi yake ni laki mbili. Nililipa miezi sita mkataba...
Nyumba hiyo hapo chini nahitaji mtu wa kunirudishia hela kwa miezi 3 iliyobaki. Nilipanga tangu tarehe 15.06.015 na kodi inaisha tarehe 15.12.2015. Kodi yake ni shilingi laki mbili kwa mwezi...
Habari zenu,
Ninani asieenda chooni katika sayari hii? Tofauti kati yako na Vladimir Putin ni kwamba choo chake kina thamani ya $70,000 wakati wewe chako hakitamaniki,choo ni starehe bwana sio...
Chumba1- 90,000 hadi 60000
Chumba Masta - 150,000-200,000
Chumba na sebule-100,000-150,000
Chumba Masta na choo ndani -250,000 hadi 200,000
Nyumba vyumba2, sebule, jiko, na choo ndani -400,000...
Tovuti hii ipo tayari hewani
Wataalamu wa designing na kui-control(IT techinician) Tayari wapo
Mwekezaji anahitajika awekeze katika publicity
Ingia usome idea yake ya ufanyaji kazi
Kama utakua...
Ukubwa kuanzia Mita 20x20 bei 4.5milion viko sehemu nzuri sana umeme upo, maji ya Bomba yako, na vyote vinafikika kwa barabara
Piga #0713154547 kwa taarifa zaidi
Habari wanajamvi wa tekinolojia,
Bado nipo katika mtiririko wa kifaa ambacho nimeekiita AVB(Automatic Low Voltage Booster),ambacho kazi yake ni kusaidia kuongeza umeme katika maeneo...
Habari wanat JF
Napenda kuwataarifu kuwa nina blog ninauza ziko 4 na zote zina watembeleaji wa kutosha na pia nina akaunti ya matangazo ya bidvetiser ambayo ina dola $50 sawa na Tshs100,000...
Ukubwa kuanzia Mita 20x20 bei kuanzia 4.5milion pungufu mnaongea. Huduma muhimu zipo kama maji, umeme na barabara nzuri
Kwa taarifa zaidi piga #0713154547
Jumapili saa tisa alasiri tarehe 13. 09. 2015 club ya wazee ilala kutakuwa na mkutano wa wafugaji kuku mkoa wa DSM siku ya jumapili kujadili juu ya upandaji wa bei ya chakula cha kuku na madawa...
natafuta gari tajwa (NOAH LITEACE (Old model) au PROBOX VAN kwa bei kuanzia 8.5m mpaka 9.0m kulingana na ubora wa gari (haina dalali MUUZAJI ndio awe mmiliki wa gari). MAWASILIANO 0712212299.
Pata software zote, programs za simu za aina zote na za computer pamoja ushauri wa simu na komputer kwa gharama nafuu.. Ushauri ni bure kabisaa..
Follow me facebook "maedson mahonge" au call me...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.