Habari wadau,nafanya residential electrical installation(naweka umeme wa majumbani).Yeyote anaehitaji kuwekewa umeme nyumbani kwake iwe ni wa TANESCO ama solar power ktk nyumba yake au ktk pump za...
Inauzwa Harrier namba B kwa bei nzuri. Ni tshs.11.5mil. Rangi nyeusi Tuko mabibo mwisho Dsm 0716535134, pia tunayo suzuki escudo namba A, nyeusi kwa Tshs7.5mil
Mimi ni mjasiriamali; wakati wa kampeni nilikuwa na robota 10; sasa nimebakiza robota mbili. Nisaidie niondoe huu mzigo. Chumba kimejaa.
Na nina mkopo wa saccos; nisaideni kimawzo
Habari Wakuu!
Ni duka gani naweza pata Humidity and Temperature controller kwa Dar Es Salaam, samahani sina uzoefu na hivo vitu so siwezi sema specification yake. Please assist, I need only one...
Hili limekua ni tatizo kubwa....tunajua kila mtu alizakiwa mzma kabsa lakn kutokana namfumo wa vyakula ss hv we wamejkuta wakpoteza nguvu za kiume....kuna sababu nying na maelezo mengi sn ila kwa...
Wana JF mwenye kufahamu bei ya zile jiko ndogo za gesi za plate moja ambayo iko full na mtungi wake wa KG 6 bei ya rejareja najua ziko aina tofauti ni vyema pia kujua aina nzuri kwa matumizi na...
Shamba zaidi ya hekali sita linauzwa kwa beii nafuu kabisa.
Eneo hili ni zuri kwa kilimo au shughuri nyingine ya kiuchumi .
Shamba hili lipo mkoa wa mbeya wilaya ya momba
Mtoa tangazo hili...
Habari wadau wa jamii forum,nauza laptop yangu aina ya hp pro book corei3,ina ram4gb,hard disk 500gb,na processor 2.80ghz,ipo katika hali nzuri na imaetumika 3month na ina kaa na chaji 3hrsbei...
Wadau nawasalimu
Kwa mwenye kumjua Fundi wa simu makini na mwaminifu anipe mawasiliano yake. Simu yangu aina ya Sony Xperia Z Ultra imepasuka kioo. Kama kuna mwenye ufahamu naomba anijibu kwa...