Fundi wa Kioo cha Simu Sony Xperia Z Ultra

Goodluck Mshana

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
1,271
1,119
Wadau nawasalimu

Kwa mwenye kumjua Fundi wa simu makini na mwaminifu anipe mawasiliano yake. Simu yangu aina ya Sony Xperia Z Ultra imepasuka kioo. Kama kuna mwenye ufahamu naomba anijibu kwa namba 0717935721. Napatikana Dar es Salaam hivyo natarajia Fundi atapatikana ndani ya Jiji hilihili. Asanteni
 
Mtafute fundi alex kiwia 0713667999 anapatikana mtaa wa samora karibia sapna,opposite.simu yangu kantengenezea yeye.umpigie ukifika sapna
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom