Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ni samsung Galaxy Tab S, Android 5.0 lollipop..Bei maelewano na poa sana ina week moja, ni check 0715011406.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajamiiforum ninawasalimu, Nauza simu yangu viwa max5 imetumika miezi miwili, ninaiuza kwasababu kwa sasa ninauhitaji wa pesa mkubwa ukilinganisha na uhitaji wa simu. Niko Mbeya 0768581799
0 Reactions
0 Replies
1K Views
simu aina ya galaxy note 3 original inauzwa shilingi laki 6. simu haijatumika sana na sababu ya kuuzwa ni kwamba nimepata galaxy note 4 hivyo nauza hii 3. specs zake zione hapa Samsung...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nyumba inauzwa maeneo ya ituha (Mbeya Mjini). Si umbali mrefu kutoka inapoishia rami.(Unaingulia Sae). Ina vyumba vitatu vya kulala (kimoja kati ya hivyo ni self), Ina sitting room, dinning room...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Nina hicho kiasi nahitaji gari iliyo katika hali nzuri.
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Wadau nauza external hdd mpya kabisa sh elfu 90 ..nipo kinondoni
0 Reactions
2 Replies
778 Views
Anayeuza toyota ist, ani pm tuzungumze.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wale wabunge wapya nawajulusha kuwa nina nyumba nzuri eneo la kisasa. Master mbili na chumba kimoja pia kina choo chake. Mnaweza hata kushea nyumba ni nzuri na mpya usalama upo. kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tunatengeneza Blog zakisasa kwa shilingi Elfu kumi tu. Utalipia baada ya kazi kukamilika. Karibu sana. Hizi ni sample za blog tulizo tengeneza Kijiwe Cha Wasomi, Modegi Company Limited | Building...
0 Reactions
0 Replies
910 Views
Habari wana jamvi, tunawakaribisha wote wanaotaka kufundishwa utaalam wa tshirt printing na hata wale wote wanaotaka kujifunza kwa undani utengenezaji wa batiki mitindo mbalimbali. karibu chuoni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ili uweze kutunza kumbukumbu zako za biashara yako ni vizuri ukatumia Software ya Accounting package kama Tally na nyingine. N wakaribisha wote mnahita TALY 9 ERP kwa Mutl user ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna note 3 internal memory 32gb bei 650000 Kuna note 4 internal memory 32gb bei 850000 Kuna Samsung galaxy s5 internal memory 16gb bei 620000 Kuna Sony xperia z2 bei 670000 sum zote ni mpya...
0 Reactions
0 Replies
874 Views
Model number: GT i9505 , Internatinal Version Internal Memory: 16 GB Colour: White Frost Connectivity: 2G , 3G , 4G LTE For More info Call/WhatsApp: +255 719799118 Imetumika kwa miezi 5...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Naomba kujuzwa maeneo gani naweza kupata Shamba kwa heka laki 3 au 4 maeneo ya Dar au nje kidogo ya Dar? Mwenye kujua msaada wakuu. Mawasiliano 0784791233.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini ndugu. Nina mashine tajwa hapo ipo katika hali nzuri na ubora wake imetumika miezi 3 na nipo Mbeya mjini. 0753255844
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nina 2mil (Tsh2,000,000 cash), ukubwa sqm400(mita20*20), hakuna pesa ya kuongeza, pia kama huna pita kimya kimya, Maeneo ninayopendelea ni 1. Chanika kuanzia kwa ZOO hadi Chanika Msumbiji umbali...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tunajishugulisha na ku program funguo za gari zenye sensor(transponder) kwa gari aina zote,vile vile tunaprogram remote na engine control unit na immobilizer system. Bei zetu ni nafuu...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Mambo zenu Great thinkers. Nauza TECNO P5, Internal memory 4GB, RAM 450.Tsh 100,000/= (Laki moja). Ipo katika hali nzuri. Yeyote aliye interested awasiliane na mimi:0712 884091.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna Huawei y330 hapa iko fiti kila kitu we mwenyewe utakubali mziki wake for only 70,000. Call 0786371108.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauza s3 yangu kwa wale mafundi simu wanaohitaji vifaa. Simu iko katika hali nzuri, kioo ni kizuri hakina scratch. Bei ni laki 1,kwa mawasiliano zaidi nicheki PM. Picha zake hizi hapa chini
0 Reactions
6 Replies
946 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…