s3 used for sale

s3 used for sale

Nifah

Platinum Member
Joined
Feb 12, 2014
Posts
34,416
Reaction score
82,368
Nauza s3 yangu kwa wale mafundi simu wanaohitaji vifaa.
Simu iko katika hali nzuri, kioo ni kizuri hakina scratch.
Bei ni laki 1,kwa mawasiliano zaidi nicheki PM.
Picha zake hizi hapa chini
 
Kwanini mafundi simu? Nikitaka kutumia hainifahi au haiwaki?
 
Kwanini mafundi simu? Nikitaka kutumia hainifahi au haiwaki?

Inawaka lakini haifanyi kazi mkuu.
Imekufa inatakiwa kununulia mother body sasa mimi naona bora niiuze hivyo hivyo kamanda wangu.
 
Back
Top Bottom