Niuzie kiwanja/natafuta kiwanja,sqm400(mita20*20)

Niuzie kiwanja/natafuta kiwanja,sqm400(mita20*20)

Madihani

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
6,326
Reaction score
7,529
Nina 2mil (Tsh2,000,000 cash), ukubwa sqm400(mita20*20), hakuna pesa ya kuongeza, pia kama huna pita kimya kimya, Maeneo ninayopendelea ni

1. Chanika kuanzia kwa ZOO hadi Chanika Msumbiji umbali kutoka barabara ya lami iwe mwisho 2kms, pia barabara ifike hadi kwenye kiwanja,.

2. Maeneo ya Mbezi (Luis, Msakuzi, Mpigi Magoe,),Goba (Tegeta A),nk. Kisiwe mbali na barabara kuu mwisho 2kms.

Karibuni wenye kuhitaji 2mil ya fasta.
 
Back
Top Bottom