Jumia unveils vendor-friendly redesigned website and boosts customer experience
Jumia, the leading online shopping destination in Africa, has launched its newly redesigned websitejumia.co.tz to...
Vifaranga wa kuku wa kienyeji wanapatikana, wana umri wa wik 3, bei ni Sh.4,000. Atakayehitaji anitafute kwa namba hii: 0753249862. Napatikana Dar. Karibuni sana
Qsat Q28G
Jee ni teja la soccer la Ligi za Ulaya? usihangaike kutafuta vya bei ghali, solution ipo hapa, bila ya kujali dstv wanaupgrade au laa Q28G ndio mkombozi wako, inakuja na account ya...
Husika na kichwa hapo juu
Shamba LA hekali zaidi ya sita linauzwa kwa bei nafuu kabisa.
Eneo hili linafaa kwa kilimo kwani linarutuba ya kutosha pia location yake ni nzuri kwa ufunguzi wa biashara...
nahitaji gari tajwa kati ya hizo kwa haraka. Bei iwe 7mil kushuka chini. Gari isiwe na shida yoyote. Kama unayo nitafute tufunge biashara kwa namba 0656497469
Ipo jirani na njia panda ya kwenda tcc club, inatazama bara bara kuuu ya changombe
ina floor tiles na mlango wa aluminium
ina ukubwa wa kutosha duka la chakula, dawa na duka la nguo.
Kodi ni nafuu...
kwa wanawake wanene na wasiyo furaiya tendo la ndoa,kutokana na maumbile au kutoridhishwa na huduma wakati wa tendo nicheki kwa mamba 0653278878 au whatsapp 0782498431 kwa ushauri,tiba na huduma...
Habari za majukumu wanajamii wenzangu, kama kuna mtu anauza pikipiki aina ya boxer 150 ambayo imetumika lakini ina hali nzuri anichek kwa namba hizi 0683759230.Nimeandaa 1,500,000 cash endapo...
Tunauza facebook page zenye likes tofauti.
Mfano likes elfu 5000 kwa elfu 50000.
Kila like ni sh 10.
pia tunauza instagram pages same price.
Kwa wale wenye blogs na wafanya biashara...
Kutokana na kichwa habari hapo juu mm binafsi natafuta kazi hasa dar es salaam sababu ndio mji niliouzoea kazi yoyote ile mradi iwe hahali nipo tayari kujitolea mradi pawe na mahala pa kulala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.