Toyota Voxy inauzwa

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
2,111
2,759
Wana JF nauza voxy ya mwaka 2004 bei ni 12 million mazungumzo yapo email address yangu ni richardnguma@gmail.com
Phone number ni 0788860898 niko kwa whatsapp pia .Gari iko Arusha Tanzania :)
 

Attachments

  • 1446802332211.jpg
    1446802332211.jpg
    42.2 KB · Views: 495
  • 1446802364042.jpg
    1446802364042.jpg
    36.1 KB · Views: 454
  • 1446802396856.jpg
    1446802396856.jpg
    61 KB · Views: 462
  • 1446802503084.jpg
    1446802503084.jpg
    65.9 KB · Views: 421
  • 1446802543100.jpg
    1446802543100.jpg
    58.7 KB · Views: 439
U make my day Mr Wonderful ,mbavu zangu jamani ,kwani umesikia hiyo ni lodge ,utafanyaje mapenzi kwenye Gari aisee ,
 
Bado hajapatikana Bob Rich ,yaani huku JF ni uhuni tuu eti mtu anaulizia kama nimeshafanya huko ndani ya gari sex ,that's not fear .
 
tukitoa matairi, viti na sight mirrors utanifanyia bei gani?
 
Inanunulika lakini huku JF wanunuaji ni wachache. Uza mtandao kupitia app ya kupatana
 
Ulishawahi kufanyia uzinzi humo kwenye gari?

Hahaha,we acha viroboa
Umenichekesha kweli aisee,maana kuna mshkaji wangu alikuwa na gari,anakuambia nikificha condoms humu hata utafute vipi huioni,aisee na kweli,na kuna wakati aliiuza na condoms zake,nikasema haya,mafundi garage wataziona siku ikipata tatizo kubwa.

byzeway,gari nzuri
 
Hahaha,we acha viroboa
Umenichekesha kweli aisee,maana kuna mshkaji wangu alikuwa na gari,anakuambia nikificha condoms humu hata utafute vipi huioni,aisee na kweli,na kuna wakati aliiuza na condoms zake,nikasema haya,mafundi garage wataziona siku ikipata tatizo kubwa.

byzeway,gari nzuri

Umeona sasa!!!!!!?
Gari nyingine hazina "uzu"
We unaona ni gari inatembea kumbe ni danguro loh!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom