Wickama
Platinum Member
- Mar 8, 2009
- 1,577
- 1,362
Nyumba hii ipo Donge, Tanga mjini. Ni mpya, vyumba vitatu fully air conditioned, ina furniture zote na vifaa vya jikoni. Ina ukuta wa uzio, Bei ni USD 500 kwa mwezi, malipo kwa Tshs Ruksa. Wasiliana kupitia 0784607145