Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ili uweze kutunza kumbukumbu zako za biashara yako ni vizuri ukatumia Software ya Accounting package kama Tally na nyingine. N wakaribisha wote mnahita TALY 9 ERP kwa Mutl user ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna note 3 internal memory 32gb bei 650000 Kuna note 4 internal memory 32gb bei 850000 Kuna Samsung galaxy s5 internal memory 16gb bei 620000 Kuna Sony xperia z2 bei 670000 sum zote ni mpya...
0 Reactions
0 Replies
872 Views
Model number: GT i9505 , Internatinal Version Internal Memory: 16 GB Colour: White Frost Connectivity: 2G , 3G , 4G LTE For More info Call/WhatsApp: +255 719799118 Imetumika kwa miezi 5...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Naomba kujuzwa maeneo gani naweza kupata Shamba kwa heka laki 3 au 4 maeneo ya Dar au nje kidogo ya Dar? Mwenye kujua msaada wakuu. Mawasiliano 0784791233.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini ndugu. Nina mashine tajwa hapo ipo katika hali nzuri na ubora wake imetumika miezi 3 na nipo Mbeya mjini. 0753255844
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nina 2mil (Tsh2,000,000 cash), ukubwa sqm400(mita20*20), hakuna pesa ya kuongeza, pia kama huna pita kimya kimya, Maeneo ninayopendelea ni 1. Chanika kuanzia kwa ZOO hadi Chanika Msumbiji umbali...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tunajishugulisha na ku program funguo za gari zenye sensor(transponder) kwa gari aina zote,vile vile tunaprogram remote na engine control unit na immobilizer system. Bei zetu ni nafuu...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Mambo zenu Great thinkers. Nauza TECNO P5, Internal memory 4GB, RAM 450.Tsh 100,000/= (Laki moja). Ipo katika hali nzuri. Yeyote aliye interested awasiliane na mimi:0712 884091.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna Huawei y330 hapa iko fiti kila kitu we mwenyewe utakubali mziki wake for only 70,000. Call 0786371108.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauza s3 yangu kwa wale mafundi simu wanaohitaji vifaa. Simu iko katika hali nzuri, kioo ni kizuri hakina scratch. Bei ni laki 1,kwa mawasiliano zaidi nicheki PM. Picha zake hizi hapa chini
0 Reactions
6 Replies
945 Views
mwenye sim ya tecno iliyo katika hali nzuri anicheck kwa 0655 477748 kuna 120k hapa cash fast deal n.b iwe katika hali nzri isiwe na tatzo lolote
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nahitaji nyumba ya kupanga maeneo hayo au jirani na maeneo hayo. vyumba vitatu vya kulala iwe ina fensi inajitegemea. 0784200767
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nahitaji laptop ya kununua .. mwenye nayo 0784200767
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sasa udongo wetu Aunt Zainab's Natural Super Clay unapatikana Korogwe. Huu udongo ni 100% wa asili, haujaongezwa chochote na moja ya matumizi ni kama liwa lakini una ubora zaidi ya liwa. Kwa...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Natafuta shamba lenye ukubwa wa ekari mbili liwe mwambao wa buhongwa mpaka usagara mwanza. Kwa mwenye nalo tuwasiliane.
0 Reactions
0 Replies
873 Views
Nauza play station Ps2 iko complete. Bei 170,000, kwa mawasiliano nicheck 0652444079.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Sony PD 150 professional video camera 3 -CCD camcorder inafanya kazi vizuri pamoja na vitu vifuatavyo 12x optical variable specifications . 4:3 au 16:9 widescreen adapter supplied ,12 or 16 bit...
0 Reactions
0 Replies
909 Views
Camera nikon D3200 inauzwa ipo katika hali nzuri ni nifaa vyake vyote .Bei tsh 1100,000.00. Call 0712652110 Dar
0 Reactions
1 Replies
951 Views
Ace notebook for sale ,specs 250GB,IGB ram ,1.66Hgz ,window 7 ,price 185000.00 call 0712652110
0 Reactions
0 Replies
659 Views
kama kichwa cha habar kinavosema tunakodisha mziiki maharusini ...sendoff...happybirthday na kwenye vikao mbalimbali kwa bei pouwa saana tupo mwanza kisesa kwa mawasiliano wasiliana nasi kuptia...
0 Reactions
0 Replies
986 Views
Back
Top Bottom