Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Machine ya copy aina ya canon Np6317 inaweza patikana? Km unayo taja bei na mahali ulipo au ni Pm
0 Reactions
8 Replies
2K Views
kwa bei ya jumla nitapata kwa shilingi ngap?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Pata moderms za g4 kwa wkazi wa daresalmu pamoja na routers Moderm ni shiling 50000 Router n shiling 150,000 Kumbuka unapata offer ya gb 30 kwa miezi mitatu Wahi ofer hii unaletewa ulipo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana jf,hakuna haja ya kupata hasara wakati wa kuchimba kisima.kuna mtu anaweza akachimba kisima akakuta maji hakuna na akawa ameingiya gharama zisizokuwa na msingi na mwingine anaweza...
0 Reactions
0 Replies
838 Views
Sim ya S5 chrome inauzwa kwa bei poa kabisa sh. 200,000 ipo kwa hali nzuri for serious buyer only plz call 0717751644
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Karibuni kwa ajili ya kujitangaza kibiashara kwa wafanyabiashara mbalimbali ndani ya Tanzania na nchi jirani za Kenya,Uganda, Burundi,Rwanda na popote Afrika.+255653564636
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Karibu ewe MZAZ au mlezi katika kumuandalia mtoto wako maisha yake baadae..shule ya sekondari Nyalusi inawakaribisha vijana wote wa darasa LA saba katka kujiunga Na elimu ya sekondari kwa mwaka...
0 Reactions
0 Replies
855 Views
Natural Graphite Ore inapatikana kutoka Simanjiro ikiwa na kiasi kizuri cha Carbon (Fixed Carbon) 90% - 95%, Moisture content < 0.5%. Uwezo wetu wa uzalishaji ni hadi tani 100 kwa mwezi. Bei -...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Vein Graphite kutoka Simanjiro inapatikana. Uwezo wa kusambaza ni hadi mia kwa mwezi. Bei ni $300 kwa tani. Na bei hii ni ya mzigo ukiwa site FOB.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kiwe kinatosha ujenzi wa nyumba ya vyumba vinne na eneo libakie .Huduma za barabara na umeme ni muhimu ziwe karibu. Bajet: Isizidi 10m Location: Goba..mbweni..mbagala(kuu..zakhem au...
0 Reactions
1 Replies
931 Views
Kiwe kinatosha ujenzi wa nyumba ya vyumba vinne na eneo libakie .Huduma za barabara na umeme ni muhimu ziwe karibu. Bajet: Isizidi 10m Location: Goba..mbweni..mbagala(kuu..zakhem au...
0 Reactions
2 Replies
960 Views
Haina tatizo lolote, iko katika hali nzuri, pia inatumia sim card pamoja na wi-fe, nimeshindwa kuaplod picha. Kama unahitaji nitakutumia picha whatsapp, 0672110065.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tunatoa huduma zifuatazo; - Tuition kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza mpaka cha sita - kufundisha QT na wanafunzi wanaorudia mitihani - kufundisha wanafunzi wanaojiandaa kuingia kidato cha tano...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau napenda kuwashilikisha katika uwekezaji wa miti na kujipatia utajiri Baada ya muda mfupi....miti inapatikana Kuanzia hekari 1 hadi 300 .nk..miti hiyo ni kama vile..... (a ) miti iliyo...
0 Reactions
0 Replies
911 Views
Sony video camera for sale ,camera iko katika hali nzuri na ina kila kitu ,pamoja na kutumia memory card .Bei sh mil 2.4 piga simu 0712652110 Dar
0 Reactions
0 Replies
791 Views
Nahitaji mkopo wa mil 15 ambayo nitairudisha miaka 5
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Viatu vyote 30000, kasoro hyo jordan haipo. Whtsap0629586817
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Hbr kwa wote. Kama nilivyoeleza nina gari aina ya honda airwave model 2006, very good condition. Ninahitaji kubadilishana na kiwanja ambacho kitakuwa ni survey plot, haijalishi wapi ila kiwe dar...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Shamba lenye miti ya mbao (pines) iliyotunzwa vizuri linauzwa Njombe ukubwa ni robo heka miti ina mika 4 tokea kupandwa kwake na inategemewa kuvunwa baada ya miaka 4.Shamba lipo eneo la Magoda...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Unahitajika Mkopo Nafuu, Kiasi kinachohitajika ni 21M. Marejesho ni 3yrs. Marejesho na Interest ni 24.5M Marejesho kwa Mwaka ni 8.17Ml Aliye willing na hizi terms, naomba tuwasiliane. Anicheki...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom