Gari aina ya vitz inauzwa 5.8m

migeda

Member
Dec 29, 2013
29
2
Gari aina ya Toyota Vitz yenye namba CJQ inauzwa,iko kwenye hali nzuri kabisa na ina mmiliki mmoja tu tangu iliponunuliwa.Bei ni sh.5.8M ila inaongeleka,kwa yule serious buyer anicheck kwenye whatsaap # 0757-969866 au ani pm.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom