Natafuta VX au GX iliyo kwatwa juu

Natafuta VX au GX iliyo kwatwa juu

SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
2,953
Reaction score
2,044
Hello friends,

Naomba nitafutie VX au GX iliyo katwa juu kama hizo gari za utalii! Land-cruiser ya kunua bajet yangu milion 25:

(Please niyaraka nitashukuru kwa ushirikiano wako mtanzania mwenzangu.)

Niko Arusha mjin wasiliana nami kwa email hapa chini ikiwezekana ambatanisha picha.

ombenikiware@gmail.com
 
Hello fruends,Naomba nitafutie VX au GX iliyo katwa juu kama hizo gari za utalii! Land-cruiser Ya kunua bajet yangu milion 25: (plz niyaraka nitashukuru kwa ushirikiano wako mtanzania mwenzangu.)
Niko arusha mjin wasiliana nami kwa email hapa chini ikiwezekana ambatanisha picha.
ombenikiware@gmail.com
Mkuu Heshima kwako,
Nimeshakupatia zipo nne... tena hapo Arusha !! just pm me ujechukuwa gari zako.
Kila la kheri
 
Iko hii kama utapenda,ila haijakatwa roof ila unaweza kukatiwa kwa bajeti yako ya 25m,ukiwa interesting niPM.Gari ipo Arusha.
TOYOTA LAND CRUISER GX
Model HZJ80GX.STW

Engine cap.. 4164

Year 1993

Fuel Diesel

Condition GOOD CONDITION always well maintenance.

Manual 5 speed geabox

Hello fruends,Naomba nitafutie VX au GX iliyo katwa juu kama hizo gari za utalii! Land-cruiser Ya kunua bajet yangu milion 25: (plz niyaraka nitashukuru kwa ushirikiano wako mtanzania mwenzangu.)
Niko arusha mjin wasiliana nami kwa email hapa chini ikiwezekana ambatanisha picha.
ombenikiware@gmail.com
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom