muhala.jr
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 751
- 659
Habari wana JF. kwa mwenye uhitaji wa Sato fresh kutoka fish farming wanapatikana. Ni fresh kabisa unavuliwa from pond. wana size nzur kuanzia gm 500-700. wapo kidugalo eneo la ruvu. kuna kg zaid ya 2000. ukihitaji kg kuanzia 100 kg bei Ni 6500tsh./kg. ukihitaji chini ya hapo bei Ni 7000/kg negotiations ipo depending na kiasi utakacho. kwa maelezo zaid na picha tuwAsiliAne kwa namba 0717451771. ahsante