Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Natafuta shamba la kupanda miti Njombe au mufindi. Naomba nitumie bei ya shamba na sehemu shmba lilipo. Lisiwe mbali sana na barabara. Maximum ekari 200.. Asanteni.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nyumba ipo kwenye lenta ni ya kupauwa, bei 15ml , room mbili za kulala, choo, chandani na cha nje. Sebule na jiko kiwanja ni 20mt x 12 mt kunna umeme na maji, kwa anaehitaji ani pm
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habarini wakuu. Nina mil 8 wadau nahitaji gari zuri aina ya toyota na lianzie namba C nipo Mbeya ila mwenye nalo popote TZ tuwasiliane humu JF au whatsapp 0753255844. Body ya gari iwe kama mpya...
1 Reactions
43 Replies
18K Views
Nauza kiwanja kipo mbezi msumi eneo la goba mpakani na ni karibu na shule ya msingi goba mpkanai au Tegeta A. Kina ukubwa wa mita 20 kwa 20 (sqm 400) na panafikika vizuri pia ni tambarare. Bei ni...
0 Reactions
1 Replies
852 Views
Ni mpya kabisa, ina kila kitu,pluss secreen protector ya glass,pluss cover. Ina wallanty miaka miwili na warranty ipo. Ni 520k, kama upo serious kwa wakaz wa DSM, nicheki kwa 0713 190 118.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hello friends, Mimi ni freelance Web & Graphic designer, natafuta ofisi inayofanya shughuli kama hizo tukubaliane uwezekano wa kuwa na kiti/dawati langu ambalo nitakuwa nikifanyia shughuli zangu...
2 Reactions
0 Replies
997 Views
Habari wana JF, Kwa mtu yeyote anayehitaji asali, kwa ujazo wowote anitafute kwa namba hii 0718473232. Asante.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana JF,Kwa mtu yeyote anayehitaji asali anitafute kwa namba hii 0718473232.Asante.
0 Reactions
1 Replies
682 Views
Je unajua kuwa unaweza kutengeneza pesa kupitia mitandao ya kijamii kama vile (facebook ,twitter na mingineyo). Pata fursa ya kugawana mamilioni ya pesa yatengenezwayo na mitando ya kijamii...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Shamba heka 11 lenye hati miliki linahuzwa Mkuranga Mwanambaya lipo km 2 kutoka barabarani kuna umeme na karibu nashamba r,ahisi mstafu Mwinyi. Bei 49.5mill (punguzo lipo kidogo). Simu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habri zenu waungwana,mie ni mtaalamu wa Umeme wa majumbani, -Nafanya wiring katika nyumba iwe kubwa ama ndogo. -Narekebisha hitilafu katika nyumba. -Natoa ushauri katika mambo ya kiumeme kwa...
0 Reactions
0 Replies
920 Views
Naulizia wapi naweza kupata mashine za kuchanganya udongo na sementi na mashine za kufyatua matofari na zinauzwa bei gani??
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nahitaji laptop aina ya Dell au HP,minimum specification processor core i5, Ram 4gb na HDD 500GB budget yangu ni 650000. Nipo Arusha.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu nauza frige aina ya Index ni used ina milango 2 na chini kuna zile droo ramsi za kugandishia.... shida ya hiyo frige ni ges tu... naliuza laki moja na elf 20
0 Reactions
4 Replies
897 Views
Wakuu natengeneza system mbalimbali kwa yeyote anayehitaji, system ni za mambo mbalimbali kama vile shule, inventory, HR, Hospital management system nk Bei zetu ni Nafuu kabisa, tupigie sasa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SSSRC Ltd. We are independent provider of research, analysis and advice in economic and social development. Established 2012, and operating across Kenya, Tanzania and soon Uganda. SERVICES We...
0 Reactions
0 Replies
815 Views
2daysky ni mtandao mpya wa kijamii ulioanzishwa hapahapa Tanzania. Tunapenda kuwakaribisha watu wote mjisajiri kwenye mtandao huu kwa kutembelea www.2daysky.com. Tunakaribisha maoni na ushauri...
0 Reactions
16 Replies
8K Views
Nauza tv tajwa hapo juu.bei 360000 niko dar.mawasiliano 0686979746
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama unauza kingamzi basi nione mimi
0 Reactions
1 Replies
943 Views
Pata sigara za maliboro Nyeupe na nyekundu Bei 23000 kwa jumla Karibuni sana 0656436662
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…