Nyumba inauzwa moshono arusha 15ml haijakamilika.

NOSVELA

Senior Member
Oct 24, 2012
198
27
Nyumba ipo kwenye lenta ni ya kupauwa, bei 15ml , room mbili za kulala, choo, chandani na cha nje. Sebule na jiko kiwanja ni 20mt x 12 mt kunna umeme na maji, kwa anaehitaji ani pm
 
1km toka mwisho wa lami mi ya moshono gari inaingia na kuna parkingi ya gari 3
 
Nosvela ungeapload picha na kufafanua kuwa ni mwisho wa lami kuelekea wapi au ni karibu na sehemu gani maarufu, mfano ni mtaa wa masaleni, kona kiserian, st. Judy, njia ya ng'ombe au ni maeneo yapi kwa kutoa maelezo mazuri mteja anaweza patikana
 
Picha please kama uzi haujapoa. Usisahau kuhusu umiliki halali wa kiwanja pamoja na masuala ya barabara mpya kama itaathiri au laah
 
Mwisho wa lami kama unatoka mjini unakata kulia mitaa ya bar ya pero jirani na voda
 

Attachments

  • IMG-20151126-WA0012.jpg
    IMG-20151126-WA0012.jpg
    247.2 KB · Views: 277
  • IMG-20151023-WA0008.jpg
    IMG-20151023-WA0008.jpg
    159.3 KB · Views: 341

Similar Discussions

Back
Top Bottom