Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
Hello friends,
Mimi ni freelance Web & Graphic designer, natafuta ofisi inayofanya shughuli kama hizo tukubaliane uwezekano wa kuwa na kiti/dawati langu ambalo nitakuwa nikifanyia shughuli zangu na kutumia location address ya ofisi kwasababu mara nyingi wateja hutaka kuja ofisini ninapofanyia kazi na mimi kwa sasa sina, pia inakuwa changamoto kwenye marketing kwasababu mwisho wa siku lazima tangazo au kipeperushi kiwe na location address ya biashara ninayofanya.
Tutakubaliana utaratibu wa kulipana, ingawa mara nyingi shughuli zangu zitakuwa ni mobile na nitakuwa nikija ofisini kwa appointment za wateja wanaotaka kunitembelea ofisini.
Please inbox me for more details na mazungumzo zaidi.