Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Shamba lipo umbali wa KM 15 kutoka barabara ya Dsm - Iringa na pia lipo barabarani katika barabara ya Mikumi - Kilosa katika kijiji cha Chikoga Ukubwa wa Shamba ni Ekari 45 Shamba lina...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari za kazi humu ndani, Nategemea kufanya harusi muda sio mrefu, nipo njombe nahitaji vitu vya harusi kama shella,Pete,viatu,. Nauliza kwa Njombe wapi wanaazimisha au wanauza, maana...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nauza moto g toleo la kwanza ina android 5.0.2 lollipop ipo kwenye hali nzuri.kwa 180000 nicheki 0719908742
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Maeneo ni Mwenge, Sinza, Tank bovu, Goig, Africana, Tegeta au eneo lolote ambalo ni rahisi kupata gari za kwenda Posta/Kariakoo. Bajeti ni Tshs 100,000 hadi Tshs 150,000. Kiwe sehemu nzuri pia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Niko Mwanza. Kabati la vyombo milango 3 linahitajika
0 Reactions
0 Replies
1K Views
sifa zake ni kama ifuatavyo Toyota land cruiser prado Engine 1khz c.c 2800 transmission manual Fuel diesel Passengers 7 Plate no T.477 AUD mille 176000 Manufacture 1998 KWA MAWASILIANO PIGA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari wadau. kwa yeyote anaeuza laptop aina ya lenovo y50 yenye graphic card ya nvidia 4gb anipm. shukrani
0 Reactions
2 Replies
912 Views
RAM 2GB HDD 320 GB WEB CAMERA BETTRE 5 HRS WIRELESS bei/price 400,000 tu ( offer) 0782179882
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habarini, Kila mwisho wa mwaka na mwanzoni mwa mwaka matangazo mengi ya promotion za simu na vitu mbali mbali husikika, leo niwe nje ya hayo, lakini nikuletee ofa kabambe ya michoro ya ujenzi kwa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Anayefaham duka la jumla na rejareja vivfaa vya electronic s hasa laptop kwa dar ,mm npo mkoan
1 Reactions
0 Replies
830 Views
Nauza laini ya TigoPesa bei laki 3, kama unataka nicheck kwa hii namba 0654544589.
0 Reactions
0 Replies
837 Views
WanaJF, Unafahamu au wewe ni muuzaji wa electronics hasa laptops kwa bei za rejareja au jumla naomba kunitajia majina/jina ya maduka yanayohusika na biashara hyo hapo Dar ili niweze kufanya nao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SMILE -MIFI MPYA KABISA INAUZWA KWA TSHS 60,000/ TU KWA MAWASILIANO PIGA 0713394686 BEI HAIPUNGUI MiFi Now you can take your superfast internet with you ? Multiple users ? Pocket-sized ? Up to...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Toyota duet inauzwa 4m , ipo katika hali nzuri sana na automatic na imetembea km 140,000, mafuta inanusa 1lt inaenda km 20, cc 980. For serious buyer just call 0713 234224
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Ndugu wana Jamii Forum; Ninauza kiwanja/Plot eneo la Mwananyamala A, Nyuma ya Hospitali ya Mwananyamala. Kiwanja ni kizuri kwa ujenzi wa makazi na Biashara. All legal Documents ziko mikononi...
0 Reactions
3 Replies
946 Views
Ndugu wana JamiiForums; Ninauza kiwanja/ Plot eneo la Mwananyamala A, Nyuma ya Hospitali ya Mwananyamala. Kiwanja ni kizuri kwa ujenzi wa makazi na Biashara. All legal Documents ziko mikononi...
0 Reactions
1 Replies
932 Views
Registration No:T972AVZ Chasis No:FE659C531066 Engine No:4D34G48932 Engine capacity:3900cc Year of manufacture:1998 Heavy duty vehicle (3.5Tons) Wide & long extended chasis Working & good...
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Nataka mashine ya kukoroga na ya kufyatua matofali ya inch 5-6, uniambie ni bei gani ikiwa ipo tayari kwa kazi.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wahi viwanja vitano (15) vilivyopimwa, makao makuu ya mkoa wa Pwani 25Km kutoka Dar es salaam. Mahali: Kwa mathias Njia ya kuelekea Msangani Huduma za jamii kuna umeme na maji hapo hapo...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Mc elisha ana wafahamisha wale wote Wenye shughuli zao harusi,sendoff,kipaimara,mahafali,au shughuli inayo hitji mc Tuwasiliane tuelewane tupige kazi Garama n nafuuu sana tukielewana vizuri...
0 Reactions
0 Replies
754 Views
Back
Top Bottom