KakaKiiza Platinum Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,952 Reaction score 9,469 Dec 8, 2015 #1 Naulizia wapi naweza kupata mashine za kuchanganya udongo na sementi na mashine za kufyatua matofari na zinauzwa bei gani??
Naulizia wapi naweza kupata mashine za kuchanganya udongo na sementi na mashine za kufyatua matofari na zinauzwa bei gani??
Bethania JF-Expert Member Joined Aug 9, 2013 Posts 339 Reaction score 130 Dec 8, 2015 #2 Nenda mwenge kama uaenda Lugalo mkono wa kushoto mpakani mwa nyumba zakiraia na jeshi kuna mafundi wa hitaji lako kama upo dar
Nenda mwenge kama uaenda Lugalo mkono wa kushoto mpakani mwa nyumba zakiraia na jeshi kuna mafundi wa hitaji lako kama upo dar
researcher12 Senior Member Joined Aug 30, 2015 Posts 160 Reaction score 164 Dec 10, 2015 #3 nenda SIDO mkoa wowote