Ng'arisha meno yako sasa!

Ng'arisha meno yako sasa!

ELAFU

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
410
Reaction score
151
Karibu kwa wataalam na washauri.
Si wengine ni S&E BEAUTY SOLUTIONS, meno yako yatang'aa na kuwa meupe kabisa kuanzia wiki ya pili tu baada ya kuanza kutumia huduma yetu hii.
Gharama yake ni Shillingi elfu 12 tu.
Karibu sana S&E BEAUTY SOLUTIONS.

Mawasiliano : 0659528724, 0784082847
 
Samahani tunaomba picha tuone ya kwako yanavyong'aa kwanza, ili tumiminike kwa wingi.
 
Samahani tunaomba picha tuone ya kwako yanavyong'aa kwanza, ili tumiminike kwa wingi.

Haha watu hawaishiwi na maneno kama kanga!!!

Kweli atuonyeshe mafanikio ya meno yake au mganga hajitibu?!
 
Haha watu hawaishiwi na maneno kama kanga!!!

Kweli atuonyeshe mafanikio ya meno yake au mganga hajitibu?!

Unadhani kiongozi! Isijekuwa yale mambo ya jamaa anauza sabuni za chunusi, ilihali yeye mwenyewe zipo kibao usoni.
 
Nipo Mbeya nawapataje?

Unaweza ukatumiwa bidhaa zako ili uweze kuzitumia huko mbeya.
Utatuma gharama za bidhaa pamoja na gharama ya kusafirisha mzigo kwa njia ya basi, ambayo ni sh. 5,000/=
 
Usalama wa bidhaa zenu upo wipi? Je mna hati ya ubora toka TBS? mna kibali cha TFDA? Ahsante
 
Usalama wa bidhaa zenu upo wipi? Je mna hati ya ubora toka TBS? mna kibali cha TFDA? Ahsante

Bidhaa zote zimesajiliwa na TFDA, na hazina mashaka katika afya ya mtumiaji.
Tuna utaalam na uzoefu wa kutosha, pamoja na uhalali wa kufanya hivi.
Karibu sana
 
cc: Rich Pol
Karibu kwa wataalam na washauri.
Si wengine ni S&E BEAUTY SOLUTIONS, meno yako yatang'aa na kuwa meupe kabisa kuanzia wiki ya pili tu baada ya kuanza kutumia huduma yetu hii.
Gharama yake ni Shillingi elfu 12 tu.
Karibu sana S&E BEAUTY SOLUTIONS.

Mawasiliano : 0659528724, 0784082847
 
Last edited by a moderator:

Unatumia bleach yenye strength gani, 35% or 5%? How do you take care the gums decayed teeth?
 
Back
Top Bottom