wakuu nina shida ya laptop mpya mbili zenye hdd 500gb ram 2gb au zaid.. Pamoja na sifa nyingne! Ni wapi nitapata kwa bei nzuri!
Unataka used laptop au brand
ila nenda pale uhuru kkoo kuna duka linaitwa uhuru computers wanauza
na ile barabara ya uhuru kuna maduka kibao wewe angalia kisha nunua unayotaka
au nenda mjini posta jengo la b. Mkapa kuna maduka wanauza pia
asante sana kwa msaada wako... nahitaji mpya sio used!!!!!