Pendezesha kuta zako

Pendezesha kuta zako

DarProperty Tz

Senior Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
168
Reaction score
29
Kuwa mbunifu na ufanye ukuta wako uwe wa kuvutia kwa gharama nafuu. Pakaa rangi ukuta wako kwa kutumia lola ya kupaka rangi na ubadilishe muonekano wa nyumba yako. Inashuriwa kupakaa rangi ya chini (msingi) iwe ime poa na ya juu iwe ikolea zaidi (bofya apa kuangalia rangi mbalimbali Plascon Inspired Colour System).

Ukiishapaka rangi ya chini (msingi). Zungusha kitambaa kwenye lola yako na anza kupakaa rangi kuelekea upande unaotaka, unaweza kupaa kuelekea juu chini, kulia kushoto au bila muelekeo. Ni vizuri ukapaka kwanza kwenye gazeti kuona kama unahitaji kuongeza au kupunguza kimbaa kadiri upendavyo.

attachment.php


U
 
Back
Top Bottom