Samsung Power Bank (Capacity = 20,000 mAh) @20,000 Tshs only
Bluetooth Speaker (FM & SD Card too) @20,000 Tshs only
Portable Fan (with 2 Torches & Solar-powered) @20,000 Tshs only
Call 0765900224
habari, ninauza kiwanja kipo korogwe mtaa wa kwam'mbo karibu sana na magunga hospitali .kina msingi wa mawe wa vyumba vinne na michungwa kadhaa ,kina ukubwa wa robo heka bei ni nafuu sana. aliye...
Nahitaji mayai kiasi cha tray 45 kwa wiki za kuku chotara aina ya black austtalorps, white australorps, susex, rhode island red etc...
Napatikana Tegeta Bahari beach
Kwa mwenye nayo tuwasiliane...
Kichwa cha habari kinahusika,kwa mtu yeyote aliyepotezana na nduguye/mgeni wake jana majira ya jioni maeneo ya stendi kuu ya mabasi ya Ubungo afike kituo cha Polisi External!
Ni binti wa miaka...
Asalaam wana jamii
natafuta nyumba ya kupanga eneo ya Ilala
kodi iwe kati ya 150,000 hadi 200,000 na nina kodi ya miezi 9
iwe na viumba viwili
maji na luku ya kujitegemea
Toyota Altezza inauzwa, mwaka 1999, engine capacity 1925, silver color, leather seats, ipo Dar es Salaam, bei 6.5 million haipungui. Maelezo zaidi piga 0713399109 au 0765448488.
Mileage :64,503 km. Imetembea Dar kwa mwaka mmoja tu toka inunuliwe. Namba inaanzia D.
Documents zote zipo. Picha zimeambatanishwa kwa maelezo zaidi.
Bei 10m.
Kwa mawasiliano zaidi, piga 0714-313362
Habari zenu wakuu,
Tunafanya training kwa wahasibu pia kwa wanafunzi wanaosoma masomo ya kihasibu, sisi tunafundisha jinsi ya kutumia QuickBooks.
Tunafundisha masaa 20, ambapo masaa 20...