VITZ IN GOOD CONDITION FOR SALE

Iramusm

JF-Expert Member
Nov 16, 2009
512
318
Mileage :64,503 km. Imetembea Dar kwa mwaka mmoja tu toka inunuliwe. Namba inaanzia D.
Documents zote zipo. Picha zimeambatanishwa kwa maelezo zaidi.
Bei 10m.
Kwa mawasiliano zaidi, piga 0714-313362
 

Attachments

  • 4.FRONT[1].jpg
    4.FRONT[1].jpg
    100.4 KB · Views: 47
  • 1.SIDE[1].jpg
    1.SIDE[1].jpg
    95.4 KB · Views: 50
  • 2.MILEAGE[1].jpg
    2.MILEAGE[1].jpg
    32.2 KB · Views: 47
  • 3.DASHBOARD[1].jpg
    3.DASHBOARD[1].jpg
    90 KB · Views: 51
Nicas,utakapokuja kuiona Picha zote zitarandana na hiyo gari..Tuwasiliane kwa namba hizo hapo kama uko interested
 
Vits imetumika bongo mwaka mzima afu unauza milioni kumi??? Wakati nikiagiza Subaru kwa mjapani mpaka inaingia barabarani natumia milioni kumi na moja. Endesha mwenyewe gari za watoto hizo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom