Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,403
- 12,765
Kichwa cha habari kinahusika,kwa mtu yeyote aliyepotezana na nduguye/mgeni wake jana majira ya jioni maeneo ya stendi kuu ya mabasi ya Ubungo afike kituo cha Polisi External!
Ni binti wa miaka kati ya 13- 15, Jina lake ni Hadija Selemani, mkazi wa Chem Chem Tabora Mjini,baba yake ni Muha toka kigoma,kazi yake ni dereva wa mabasi yanayofanya safari zake kati ya Mwanza,Tabora na Kigoma! Mama yake ni Msukuma toka Mwanza.
Mwenyeji wake ni Eliza Joseph,mkazi wa Kariakoo-Dar aliyesafiri naye toka Tabora kuja Dar es Salaam ila wakapoteana kwenye kituo kikuu cha mabasi yatokayo/yaendayo mikoani, ambapo alilala kwenye kituo cha mabasi kabla ya leo kukukutana na wasamaria wema waliomfikisha kwenye serikali ya mtaa kabla ya kukabidhiwa kituo cha polisi External kwa msaada zaidi!