Nahitaji mayai ya kuku chotara

Ginner

JF-Expert Member
May 8, 2011
1,513
2,001
Nahitaji mayai kiasi cha tray 45 kwa wiki za kuku chotara aina ya black austtalorps, white australorps, susex, rhode island red etc...

Napatikana Tegeta Bahari beach

Kwa mwenye nayo tuwasiliane kupitia nambari 0755815174
 
Back
Top Bottom