Nyumba inapangishwa Changanyikeni

mamy two

Member
Sep 30, 2014
7
1
Vyumba 3 na moja ni master. Sebule, jiko, sehemu ya kulia, choo cha jumuia.
Ipo Changanyikeni. Kodi ni laki tano.

Karibuni: 0718800909..
 

Attachments

  • 1451450600156.jpg
    1451450600156.jpg
    18.9 KB · Views: 53
  • 1451450640831.jpg
    1451450640831.jpg
    24 KB · Views: 56
  • 1451450721992.jpg
    1451450721992.jpg
    26.6 KB · Views: 55
Hayo madirisha kama choo afu mtu alipe laki tano?? Na hivi Magufuli kabana

Labda laki mbili na nusu, ikizidi sana laki tatu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom