natafuta nyumba ya kupanga

mrlonely98

Member
Nov 6, 2009
94
6
Asalaam wana jamii

natafuta nyumba ya kupanga eneo ya Ilala

kodi iwe kati ya 150,000 hadi 200,000 na nina kodi ya miezi 9

iwe na viumba viwili

maji na luku ya kujitegemea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom