MwanaIFM
Member
- Nov 20, 2010
- 42
- 27
Hivi Munawar aliwakosea nini wakuu. Naomba usiharibu uzi wangu. Nna shida nataka kuitoa hiyo gari
Shukran
Ni role model wa wauza magari kwa bei ya Mwaisela
Hizi gari ni nzuri,ila tatizo kwangu licha ya kwamba sio mnunuzi,ni seats zake.Yaaani kama ni mtu mrefu kiasi tu utapata tabu sana kwenye ukaaji wake.Unakaa kama vile unaruka kichura,distance baina ya seat za mbele na nyuma ni ndogo sana na seat level ipo chini sana.
Ila ni gari nzuri saana kwa matumizi na zinaweza kazi ngum na mazingira magum