Wakuu nimekuwa nikisoma kuwa engine za D4 si nzuri katika mazingira yetu. Sasa nimeona kuna gari zina D4 vtti. Naomba kujua kama hizi engine ni tofauti na D4
Asanteni
Wadau salam..nauza vifuatavyo Bei Poa
1.Samsung Plasma PDP Display TV slim, Inches 51 imetumika 1 month only inbox yake na kila kitu bei ...1m
2.Nikai Slim LED Display..Inches 50 imetumia 1 month...
Habari zenu wakuu?Ninauza bidhaa tajwa hapo juu.Iko katika khali nzuri sana,Ninauza shilingi 50,000 ni cha antena.Hiki dukani kinauzwa 75000.Nimefikia uamuzi wa kuuza kwa kuwa ving`amuzi vyote...
Kuanzia 3-5 Milioni..
Vinapatikana. 4Km kutoka Barabara ya morogor
vimepimwa na vingine havijapimwa 600sqM
Umeme, maji na barabara vipo.
Hakuna udalali
0754/0658- 598946
.
Kuanzia 3-5 Milioni..
Vinapatikana. 4Km kutoka Barabara ya morogor
vimepimwa na vingine havijapimwa 600sqM
Umeme, maji na barabara vipo.
Hakuna udalali
0754/0658- 598946
.
Rejea mad husika wapendwa, bajeti yang ni Milioni 17. Je, ni aina gani ya gari ninunue kati ya Toyota Wish na Toyota I. S. T kwaajili ya matumizi ya familia? Means imara, comfortable na...
Kagera region is located in
the northwestern corner of
Tanzania. The region
shares borders with
Uganda to the north,
Rwanda and Burundi to the
west.Kagera has chilly
weather and amazing
variety of...
Habari za leo wadau. Nahitaji kujenga nyuma ya ghorofa moja ambayo nyumba ya chini na ya juu zinajitegemea i mean atakayekuwa anaishi nyumba ya chini na wa nyumba ya juu wakutane kwenye parking...